Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android
Acerca del Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android
Fahamu Kwa Undani Sifa na Bei ya Simu Yako
Kama unataka kujua sifa kamili za simu yako ya Android basi app ya simu yako itakuwa msaada mkubwa kwako.
Kupitia app hii unataweza kujua sifa mbalimbali za simu yako kuanzia jina kamili la simu yako, uhifadhi wa ndani wa simu yako, RAM ya simu yako, CPU ya simu yako pamoja na mambo mengine mengi.
App hii haina matangazo na ni bure kutumia na inaweza kuwa msaada mkubwa sana pale unapotaka kununua simu na kutaka kujua sifa za simu hiyo.
Pia ndani ya app utaweza kujua bei ya simu yako ya makadirio kwa kufuta link maalum, Kama unataka kujua bei ya simu yako sasa unaweza kutembelea tovuti ya Price in Tanzania hapo chini.
Website - https://priceintanzania.com
Email us - [email protected]
Novedades más recientes 1.0.0
Vídeos y capturas de pantalla
Información de Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android APK
Versiones Antiguas de Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android
Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android 1.0.0
Descarga rápida y segura a través de APKPure App
¡Un clic para instalar archivos XAPK/APK en Android!