Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android

Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android

Apps Nzuri
Aug 4, 2020
  • 4.0 MB

    Saiz Fail

  • Android 4.1+

    Android OS

Mengenai Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android

Fahamu Kwa Undani Sifa na Bei ya Simu Yako

Kama unataka kujua sifa kamili za simu yako ya Android basi app ya simu yako itakuwa msaada mkubwa kwako.

Kupitia app hii unataweza kujua sifa mbalimbali za simu yako kuanzia jina kamili la simu yako, uhifadhi wa ndani wa simu yako, RAM ya simu yako, CPU ya simu yako pamoja na mambo mengine mengi.

App hii haina matangazo na ni bure kutumia na inaweza kuwa msaada mkubwa sana pale unapotaka kununua simu na kutaka kujua sifa za simu hiyo.

Pia ndani ya app utaweza kujua bei ya simu yako ya makadirio kwa kufuta link maalum, Kama unataka kujua bei ya simu yako sasa unaweza kutembelea tovuti ya Price in Tanzania hapo chini.

Website - https://priceintanzania.com

Email us - [email protected]

Tunjukkan Lagi

What's new in the latest 1.0.0

Last updated on 2020-08-05
New Release
Tunjukkan Lagi

Video dan tangkapan skrin

  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android untuk Treler rasmi Android
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android syot layar 1
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android syot layar 2
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android syot layar 3
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android syot layar 4
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android syot layar 5
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android syot layar 6
  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android syot layar 7

Versi lama Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android

APKPure ikon

Muat Turun Super Pantas dan Selamat melalui Apl APKPure

Satu klik untuk memasang fail XAPK/APK pada Android!

Muat Turun APKPure
thank icon
Kami gunakan kuki dan teknologi yang lain pada laman web ini untuk menambah baik pengalaman anda.
Dengan klik mana-mana pautan pada halaman ini, anda bersetuju dengan Dasar Privasi dan Dasar Kuki kami.
Baca Yang Selanjutnya