Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android

Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android

Apps Nzuri
Aug 4, 2020
  • 4.0 MB

    Dimensione

  • Android 4.1+

    Android OS

Informazioni su Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android

Fahamu Kwa Undani Sifa na Bei ya Simu Yako

Kama unataka kujua sifa kamili za simu yako ya Android basi app ya simu yako itakuwa msaada mkubwa kwako.

Kupitia app hii unataweza kujua sifa mbalimbali za simu yako kuanzia jina kamili la simu yako, uhifadhi wa ndani wa simu yako, RAM ya simu yako, CPU ya simu yako pamoja na mambo mengine mengi.

App hii haina matangazo na ni bure kutumia na inaweza kuwa msaada mkubwa sana pale unapotaka kununua simu na kutaka kujua sifa za simu hiyo.

Pia ndani ya app utaweza kujua bei ya simu yako ya makadirio kwa kufuta link maalum, Kama unataka kujua bei ya simu yako sasa unaweza kutembelea tovuti ya Price in Tanzania hapo chini.

Website - https://priceintanzania.com

Email us - [email protected]

Mostra Altro

What's new in the latest 1.0.0

Last updated on 2020-08-05
New Release
Mostra Altro

Video e screenshot

  • Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android per il Trailer ufficiale Android
  • 1 Schermata Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android
  • 2 Schermata Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android
  • 3 Schermata Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android
  • 4 Schermata Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android
  • 5 Schermata Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android
  • 6 Schermata Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android
  • 7 Schermata Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android

Informazioni sull'APK Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android

Ultima versione
1.0.0
Categoria
Strumenti
Android OS
Android 4.1+
Dimensione
4.0 MB
Sviluppatore
Apps Nzuri
Download APK sicuri e veloci su APKPure
APKPure utilizza la verifica delle firme per garantire download di APK Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android senza virus per te.

Vecchie versioni di Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android

Icona APKPure

Download super veloce e sicuro tramite l'app APKPure

Basta un clic per installare i file XAPK/APK su Android!

Scarica APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies